Jokate asaka mwanaume wa kumuoa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Katika kuonyesha amechoshwa na upweke, mwanamitindo Jokate Mwegelo ' Kidoti' aka BADGIRL JOJO ameibuka na kusema kuwa sasa anasaka mwanaume wa kumuoa huku akitaja vigezo vya anayestahili kumuita mume .

Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi , Jokate alisema kuwa hana ' mtu' ila atakapotokea mwenye vigezo anavyotaka , hatakuwa na sababu ya kumkataa.

"Kwa sasa sina mpenzi wala mchumba, akitokea sina kipingamizi ila mbali na vigezo vingine awe na mapenzi ya dhati na mimi, " alisema Jokate.

Jokate amekuwa msiri sana katika maisha yake ya kimapenzi kiasi cha wengi kuamini ni msichana anayejiheshimu sana ila aliwahi kuwa na uhusiano na mchezaji wa mpira wa kikapu , Hasheem Thabeet anayekipiga kwenye Timu ya Oklahoma City Thunder ya nchini Marekani .
 
Hasheem thabeet , January makamba, ay, fa,diamond, ommy dimpozi... haja ona mume mwema hapo?????? Kama sio uki cheche wake tu waka mpiga chini siangekua kaisha olewa.. mbaya zaidi ana mix adi washikaji!
 
Mkuu kumbe mpk makamba katusua???
 
nani anataka matatizo...mademu tunao oa ni wale wale kama washambashamba hivi mfano maticha au manesi...hawa kina kim kardashian wanafaa kuwa kama michepuko..
 
nani anataka matatizo...mademu tunao oa ni wale wale kama washambashamba hivi mfano maticha au manesi...hawa kina kim kardashian wanafaa kuwa kama michepuko..

Hahaahah umenichekesha eti mademu washamba kama walimu na manesi dah, ila there is truth in ur point
 
nani anataka matatizo...mademu tunao oa ni wale wale kama washambashamba hivi mfano maticha au manesi...hawa kina kim kardashian wanafaa kuwa kama michepuko..

hahaaaa...!
futa kauli tafadhali
 
Kweli k haisomi mita mana ingekuwa gari mwenzetu angekuwa ka mandolini!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hasheem thabeet , January makamba, ay, fa,diamond, ommy dimpozi... haja ona mume mwema hapo?????? Kama sio uki cheche wake tu waka mpiga chini siangekua kaisha olewa.. mbaya zaidi ana mix adi washikaji!

Ongezea na mr machache au baba wawili kimei wa crdb na wengine wengi ambao hawajulikani ndo mana wanaume wengi wana hit and run yeye kila siku anatangaza hana boyfriend
 
hahaaaa...!
futa kauli tafadhali

hehe..am solee kama nimekukwaza...ingawa wapo masela majasiri (wachache sanaa) wanao oa design za kina kim...mara nyingi ni mapedeshjee na wauza unga..
 
Hivi vischana vinapemba sana kubadilisha mabwana kama chupi,sasa wameshatokwa na haya usoni...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…