Mkuu kumbe mpk makamba katusua???
Ntawachapa nyie hakyanani...
hehe..am solee kama nimekukwaza...ingawa wapo masela majasiri (wachache sanaa) wanao oa design za kina kim...mara nyingi ni mapedeshjee na wauza unga..
hehe..am solee kama nimekukwaza...ingawa wapo masela majasiri (wachache sanaa) wanao oa design za kina kim...mara nyingi ni mapedeshjee na wauza unga..
kutuita walimu na manesi washamba....!!!!(hahaaaaaa)
e
wenye fani tumepanick(just kidding)
nani anataka
matatizo...mademu tunao oa ni wale wale kama washambashamba hivi mfano
maticha au manesi...hawa kina kim kardashian wanafaa kuwa kama
michepuko..
Tuombe radhi.
hii ni dalili ya kuchanganyikiwa.....
nani anataka matatizo...mademu tunao oa ni wale wale kama washambashamba hivi mfano maticha au manesi...hawa kina kim kardashian wanafaa kuwa kama michepuko..
Hajui yale mavazi ni sehemu ya ethics za kazi...tungekuwa tunatupia vimini vya kimodel si wanafunzi wangepata division seven kabisa na wagonjwa wangekufa kwa presha za kushukaa......akitaka aelewe atembelee vyuoni kwanza ndo ataona balaa lake....
nani anataka matatizo...mademu tunao oa ni wale wale kama washambashamba hivi mfano maticha au manesi...hawa kina kim kardashian wanafaa kuwa kama michepuko..