Ni yule anayesema yale maneno ya Kiba siku ile ni joke eti.Jokate ndio nani huy??au niyule wa cdm??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yuko kwenye maadhimisho siunajua tena
Chura ipo lakini?[emoji1]Dear Mim nisipokupenda wew nitampenda nani tena mie
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Chura ipo lakini?[emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mpatie kijiko na uma ale hiyo jeuri yake mkuu.....Mi ni fan Wa dai but kwa hili kiba alifanya ujinga kichizi .
Anyway kwanza uhusiano wenyewe ulikuwa Wa kibashite bashite tu ulijengwa chini ya misingi ya bifu la kiba na dai .
We jokate punguza nyodo vijana wasomi kama wewe wanakutokea na wanahela ndefu tu unaleta nyodo unawafata hao mabashite maarufu pumbavu sana kula jeuri yako
This girl is very sick and needs help. Binti hana pa kuweka sura yake, hajitambui, hajipangi, amefanya makosa makubwa duniani lakini ni mjinga na hajui kabisa thamani ya mwanamke. Huyu binti yuko kwenye danger zone na tukicheza tutampoteza, iam an expert and i can see dalili mbaya sana. Jokate, we once met when you were very young, i think year 1 and the campus, mimi nikiwa mtu mzima kwenye postgraduate degree, uliwahi kunifuata ukataka nisikilize ndoto yako, i did, na nikakutia moyo na kukupa tips za maangalizo kwa sababu tayari nilishakuona ndani, ulikua na kitu hatari (ulikua at that age umeshajihesabia u super star na nilishakuona you could do anything to try and get there) sasa you made a big mistake already which is to let yourself be a tool for men. Please, I want to hold your hand and try to lift you up, you can start again you can do it. Please call this number 0714 747002, its not my number but this contact can lead you to me, just introduce yourself and ask for mama. good luck!Kiba alinikera sana
Tenda Wema Yakukute ya Steve Nyerere!!Kwelitena... "Tenda wema uende zako"
Hasheem Thabit alishafanya mambohuyu kinukta huwa namtamani sana, kitoto kizuriii ila mbona huwa wanakiacha acha......... mashine mbovu nini??! au fuko la rambo.
muacheni ale ujana ndo kwanza ana 24yrs mbichiiiSIKU chache baada ya msanii wa kizazi kipya, Ali Kiba, kudai kuwa anamchukulia mwanamitindo Jokate Mwegelo kama rafiki yake, mrembo huyo ameibuka na kusema huenda aliteleza kutoa kauli hiyo.
Jokate alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki hii alipokuwa anahojiwa kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds Tv, ambapo mrembo huyo alisema kauli hizo huenda zimetolewa kimakosa.
“Sifikirii sana maana mimi ni mtu ‘positive’ nataka niamini hawakumaanisha, sasa sijui waliteleza au walikosea,” alisema mrembo huyo aliyewahi kushika nafasi ya pili kwenye shindano la Miss Tanzania mwaka 2006.
Mrembo huyo alikwenda mbali kwa kusema: “Unajua katika maisha huwezi kumlazimisha mtu kuona thamani yako, wanasema tenda wema nenda zako mengine ni matokeo na sipendi kulizungumzia sana maana siku hizi watu wanapenda sana kuokota maneno wanayatengeneza wanavyojua wao.”
Kiba na mama yake walimkana Jokate kwenye sherehe ya kumpongeza msanii huyo baada ya kurudi kutoka Afrika Kusini na tuzo ya MTV.
Tuzo hiyo ambayo awali alitangazwa Wiz Kid kwamba ndiye aliyeshinda lakini baadaye uongozi wa MTV wakakiri mshindi halali alikuwa ni Ali Kiba na kuahidi kumpa tuzo yake nchini Afrika Kusini.
Bado mtoto msameheKiba alinikera sana
me nilikuwa shabiki sana wa ali kiba ila toka siku ile nilimuona mjinga tu ata km haumutaki mtu au mmeachana kuna lugha nzuri ya kuongea kwenye media,akumbuke na mwenzie ana moyo na aibu piaSIKU chache baada ya msanii wa kizazi kipya, Ali Kiba, kudai kuwa anamchukulia mwanamitindo Jokate Mwegelo kama rafiki yake, mrembo huyo ameibuka na kusema huenda aliteleza kutoa kauli hiyo.
Jokate alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki hii alipokuwa anahojiwa kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds Tv, ambapo mrembo huyo alisema kauli hizo huenda zimetolewa kimakosa.
“Sifikirii sana maana mimi ni mtu ‘positive’ nataka niamini hawakumaanisha, sasa sijui waliteleza au walikosea,” alisema mrembo huyo aliyewahi kushika nafasi ya pili kwenye shindano la Miss Tanzania mwaka 2006.
Mrembo huyo alikwenda mbali kwa kusema: “Unajua katika maisha huwezi kumlazimisha mtu kuona thamani yako, wanasema tenda wema nenda zako mengine ni matokeo na sipendi kulizungumzia sana maana siku hizi watu wanapenda sana kuokota maneno wanayatengeneza wanavyojua wao.”
Kiba na mama yake walimkana Jokate kwenye sherehe ya kumpongeza msanii huyo baada ya kurudi kutoka Afrika Kusini na tuzo ya MTV.
Tuzo hiyo ambayo awali alitangazwa Wiz Kid kwamba ndiye aliyeshinda lakini baadaye uongozi wa MTV wakakiri mshindi halali alikuwa ni Ali Kiba na kuahidi kumpa tuzo yake nchini Afrika Kusini.
FaizaFoxy hajapita huku?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohooooo