Jokate hajachukua Fomu popote anataka tumfikirieje?

Unataka video zake zitoke library?? Watu wamezaa wanasubiri wachomoze sura zao ili uchafu wao uletwe mezani ...tena uchafu ambao Hauna mda mrefu😋
 
Mheshimiwa Jokate Mwegelo hajachukua Fomu popote Duniani anataka tumueleweje?
Ila anayoipiga Jokate wakati huu, akiangalia alipotoka hadi alipo sasa, basi kwenye maisha yake hela ya safari hii ni unheard of.

Hizo hela za ubunge wa viti maalum UVCCM ambazo ameshazipiga hawezi akawaza ubunge. Kila anayeitaka yoyote kati ya hizo nafasi lazima ateme si chini ya milioni 300
 
Rushwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…