Jokate: Kila jambo na wakati wake

Ruwamangi

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2020
Posts
1,292
Reaction score
2,382
DC wa Kisarawe na mlimbwende Jokate Mwengelo umeuarifu Umma kupitia account zake za mitandaoni ya kwamba "sasa wakati wa Mungu umefika...."

Wengi wameona kama mdada Huyo kuhusu maswala yake ya mahusiano yamekuwa sawa awamu hii ya Sita tumpongeze Jokate
 
Kuna comments nimeziona hapa nikaishia kuomba rehema kwa Mungu kwaajili ya vizazi vya hao walio comment mabaya na machukizo wasio hata na uthibitisho wake kuhusu Jokate

Mungu awarehemu na awaepushe mabinti zao na laana za midomo yao kupitia posts za zao kuhusu huyu binti ambaye nae ni mtoto mwenye wazazi wake, dada, kiongozi, muumini na hata mama mlezi kwa wengi na mama mzazi mtarajiwa Mungu akipenda
 
Anajua uteuzi wa maDC ndio unaofuatia na yeye hatakuwepo

Hii ni defensive mechanism and her own cry-me-a-river moment



I dont know her on the personal level ila truth be told,I just hate her, her vibe is deadly off!
Duuu. Kwanini asiwepo na amefanya KAZI vizuri na zinaonekana??
 
Ila mimi nakupongeza jinsi ulivyo wa manage hao wazaramo,at least kuna kitu utakiacha hapo cha kumbu kumbu has issues za Elimu.Chukua pongezi zangu. Ijapo wengi walishangaa kwamba mrembo amaweza kuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya
 

Mwambie akae chonjo, Mama Samia haangalii sura, hivyo kama akicheza atapigwa chini, sbb sijui vetting yake hadi akapewa uDC ni mashaka matupu. Vetting yake ina walakini sana huyu, naamini Mama Samia atampiga chini, ngoja tusubiri DCs wachaguliwe, najua huyu sijui kama atapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…