[emoji23] [emoji23] [emoji23]ni lazima aseme hivyo kwani kwa urefu ule ni lazima Thabiti atakuwa na ndunga kama mkono wa mtoto,hao wanaofuatia lazima watakuwa wanamgusa gusa tu
Yah dat true tena ni ufinyu wa fikra na kwa maana nyingine ni kwamba she still love him so uyo aliye naye kwa sasa ni imetokea tu coz hana option nyingne..Kujutia kuvunjika kwa mahusiano yako yaliyopita wakati upo na mwingine kwa sasa, ni kosa ktk kanuni ya mapenzi,tena mbaya zaidi analiongelea hilo hadharani.
tiNimeng'amua vitu viwili tu hapo kutoka kwa Jokate:-
1.KuDate na Diamond ilikuwa ni Ujinga.
2.Uhusiano wake Na KIBAKULI si Bora kama Wa EX-NBA.
Labda black box! hawa vijana terminology zao khatari wana maanisha ndogo backside.Kisanduku ni nini mkuu?
Huyu mwanamke sio sexyHasheem Thabeet kwa mujibu wa Jokate
Mwegelo, alikuwa ni ‘first love’ na huenda
kuachana naye kilikuwa ni kitu kibaya zaidi
kuwahi kutokea katika maisha yake.
View attachment 425524
Mrembo huyo alikuwa akijibu swali la
PapiChulo_Chuly kwenye Twitter aliyeuliza, “Ni
tukio gani baya huwezi sahau maishani?”
“Kumwacha mtu ambaye nilikuwa nishapanga
vitu vingi sana nae kichwani. Very very
disappointing but it’s life,” alijibu Jokate.
October 2013, kwenye jarida la Vibetz,
alifunguka kuwa japo uhusiano wake na
Hasheem ulidumu kwa miaka mitatu,
walifanikiwa kuufanya usijulikane sana kwa
wengi na walikuwa wakipendana sana.
“With Hasheem, I think it was more than love.
He was my first real love,” aliliambia jarida hilo.
“Siku zote nilidhani he was my soulmate.
Kiukweli nilimpenda sana. He is like the only guy
I would drop anything at anytime for.
Nilikuwa tayari kufanya lolote kwaajili yake, that’s how
deep I loved that guy,” aliongeza.
“Nilimpenda kiukweli Hasheem, and yes kama
mwanamke mwenye kutaka kufanikiwa I’m
drawn to ambitious/successful men, you know
the go getters but my family haikunilea katika
maadili ya kujenga mahusiano yoyote katika
mhimili wa fedha,”
Jokate alieleza kujibu swali
kama aliamua kuwa na Hasheem kwasababu ya
fedha zake. “I had never wanted to use
Hasheem, all I wanted was to love him.”
Jokate alidai kuishi mbali na Hasheem ni moja
ya sababu iliyochangia kuvunjika kwa uhusiano
wao.
“Yes kuishi mbalimbali pia inaweza kuwa sababu
japo ndogo iliyochangia kuvunjika mahusiano
yetu cause sometimes I would hear a lot of stuff
and that would upset me. Nilikuwa naogopa
sana kumpoteza, I ended up doing vitu vya
kijinga kama dating Diamond.
I had issues with Hasheem na Diamond came in picture. It was a
very frustrating time for me. I was super
confused. I cried for a whole year. Like every
night I would just cry like crazy.”
Kwa sasa Jokate ana uhusiano na Alikiba.
Ukweli mtupu.. yaani hata akiwa anacare kiaje, ukufikika ule muda lazima ukumbuke good f.c.kHakuna kitu kinacho muumizaga mwanamke pale anapoachwa na good fucker alafu akawa na mtu ambaye hamfanyi kuliko wa kwanza
Hahaaa. Hujawajua utamu wao wewe. Mara ya kwanza, ukitoka huko shurti unashushia na panadol. Ukiwazoea, nyingine zote shombodaahh huyu dada alivumilia ile kipande ya jamaa.daahh me hata bure akunipa staki
Ukiona mpenz uliyenae anamsifia X, anza na wewe kukusanya vilago vyako ili angalau baada ya muda nawe uanze kusimuliwaHaya maneno mwenza wake aliyekuwa nae hv sasa, huko alipo sijui anajisikiaje
Elewa maana ya first Love Mkuu! Tatizo wabongo mmeshazoea kudanganywa na mnapenda kuchanganya maana ya Love na kuvumbua migodi ya chumvi chumviFirst love akiwa na maana ndio mwanaume wa kwanza aliyempenda wengine hakuwapenda au first love anamaanisha ndio jamaa kavumbua mgodi ?
Kama ni swala la mgodi hapo anatudanganya watu wazima
Anyway ndio maisha ya masupataa wa Bongo kila kitu ni maigizo tu
Okay hapo nimekupata, hivi viswahili vya mjini ni tatizo.Labda black box! hawa vijana terminology zao khatari wana maanisha ndogo backside.
ukweli unauma mkuu yeye kasema ndo love wake wa kwanza sasa unataka nnKujutia kuvunjika kwa mahusiano yako yaliyopita wakati upo na mwingine kwa sasa, ni kosa ktk kanuni ya mapenzi,tena mbaya zaidi analiongelea hilo hadharani.
Inabidi twende nao taratibu tutafika tu mzee mwenzanguOkay hapo nimekupata, hivi viswahili vya mjini ni tatizo.