Jokate Mwegelo aingia site kuongoza zoezi la Usajili Kieletroniki

Jokate Mwegelo aingia site kuongoza zoezi la Usajili Kieletroniki

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
🗒️30 Julai, 2024
📍UVCCM HQ

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) ameshiriki kusimamia zoezi za usajili wa wanachama kwenye mfumo Kielektroniki wa Chama Cha Mapinduzi kwa kupita kwenye Vijiwe vya Boda boda kuongoza zoezi hilo la kuwasajili Maafisa Usafirishaji kuwa Wanachama wa UVCCM tarehe 30 Julai, 2024 Jijini Dar es Salaam.

#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani
#UVCCMKazini

Imetolewa na
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa

IMG-20240730-WA0506.jpg
IMG-20240730-WA0509.jpg
IMG-20240730-WA0502.jpg
 
Hapo ni kuwalaghai. Wakishika dola msoto kama kawaida.
 
Back
Top Bottom