Jokate Mwegelo ameipaisha Kisarawe, ni zaidi ya Mkuu wa Wilaya

Hilo limekuwa tatizo kubwa Tz, la kupongeza pongeza kwa mtu anayefanya kazi ya wale walio muajiri aifanye, na kodi yako ndo inamlipa kwa service aliyopaswa kutoa...sawa sikatai kupongeza lakini isiwe' too much' utafikiri anawafanyia bure, na ni kama fadhila tu kwa wananchi..... kaazi kwelikweli.
Mtu anapongezwa kwa kufanya kazi zake?

Postman akifikisha barua au mzigo mahali husika tunahitaji kumpongeza?
 
We jamaa, Mama kakusikia, au ndiyo kusema nyie ndiye wapanga mikeka ya viongozi?. Uliandika unatamani jokate apelekwe Kinondoni na imekuwa hivyo. Hongera
 
We jamaa, Mama kakusikia, au ndiyo kusema nyie ndiye wapanga mikeka ya viongozi?. Uliandika unatamani jokate apelekwe Kinondoni na imekuwa hivyo. Hongera


Kinondoni afadhali aje asimamie kutatua migogoro ya ardhi iishe.

Kuna migogoro ambayo Chongolo hakuitatua, kaja Gondwe hakutatua , sasa bidada huenda akafanya kweli kuitatua ibaki historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…