PreGE2025 Jokate Mwegelo apewa uteuzi na Askofu Ndimbo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jokate ni binti anaye penda sana ibada kwahilo kabalikiwa

Mwingine ni mama Anna makinda
 
Hivi RC si wana miiko fulani kwamba mtu asiye na ndoa hatakiwi kushika nafasi za uongozi katika kanisa? Najaribu kurejea tu baadhi ya kauli za viongozi wa ibada
 
Hivi RC si wana miiko fulani kwamba mtu asiye na ndoa hatakiwi kushika nafasi za uongozi katika kanisa?
Una uhakika hana ndoa huyo ? Watu wenye akili wana ndoa za kimya kimya.
 
Mikwara ya kanisa katoliki ni kwa masikini tu.


Ukiwa na hela asikofu analeta misa geto. Hawa jamaa wamevunja utaratibu wa ibada.

No rifom no jumuiya
 
Una uhakika hana ndoa huyo ? Watu wenye akili wana ndoa za kimya kimya.
Kuna uzi humu ulitrend sana kuwa hana ndoa na hata akasababisha watu kuondolewa madarakani
 
well done Jocket, well done watu wa mbinga πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Katoliki ya Leo ni macho kwenye fedha. Misimamo yao na Umoja wao kwishaaaa! Kwaisha kabisa!

Nsimbo amelinajisi Kanisa katoliki kwa kukengeuka hadharani.
 
Hao ni wanambinga walioitwa nyumbani toka walikoenda kutafuta shilingi. Wameitwa kuongeza nguvu kama waumini wa RC ndio maana hakuna ustaadh pale japo ni ruksa kutia tonetone maana matunda ya seminari katoliki ni ya wote hapa nchini.
 
Kanisa limeshindwa kushikilia bomba, katazo halina hata wiki
 
Haya mambo ndiyo yatafanya wanasiasa waendelee kuongea kwenye misa za RC!
Mwafrika atabaki kuwa mwafrika tu. Yaani huyu askofu ameshindwa kabisa kutafuta fedha mpaka akatumia hawa vibwengo? Halfu mansema eti viongozi wa dini wakemee uovu kwenye jamii?
 
Anzisha Kanisa lako lisilo la hovyo. Wewe makanisa ya hovyo yanakuhusu nini ?
Kanisa ni mali ya watu akiwemo yeye (kama ni muumini wa RC). Akili zenu za kinyumbu nyumbu huwa zinadhani kuwa ukiwa kiongozi basi una uwezo kufanya chochote.
 
Hivi RC si wana miiko fulani kwamba mtu asiye na ndoa hatakiwi kushika nafasi za uongozi katika kanisa? Najaribu kurejea tu baadhi ya kauli za viongozi wa ibada
Hizo sheria zipo kwa masikini tu
 
Kanisa ni mali ya watu akiwemo yeye (kama ni muumini wa RC). Akili zenu za kinyumbu nyumbu huwa zinadhani kuwa ukiwa kiongozi basi una uwezo kufanya chochote.
Kanisa sio mali ya mtu yeyote bali ni nyumba au hekalu la kumuabudia Mungu. Upo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…