LGE2024 Jokate Mwegelo, Helmeti iko wapi kwenye msafara wako wa pikipiki mkoani Njombe?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
1732628196084.png
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa katika ofisi za CCM Mkoa wa Njombe leo Novemba 26, 2024 kwa lengo la kufunga Kampeni Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji zitakazofanyika Kata ya Ulembwe, Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani humo.

Baada ya Msafara wa mapokezi hayo; Ndugu Jokate alipata wasaa wa kuendesha kikao cha ndani kilichowakutanisha Viongozi wa CCM na Jumuiya zake wa Ngazi ya Mkoa na Wilaya pamoja na kupokea taarifa ya kazi.
1732628297214.png

1732628309494.png
 
Haka kalishawahi jikojolea jukwaani
 
Acha waendele kufanya maigizo na hizo bodaboda

Ova
 
Tumwombee sana Jokate. Kwa akili alizo nazo kufanya kazi na kina Komredi Kawaida ni kama hajatendewa haki. Imagine boss wake ni Kawaida ambaye kila mara anaropoka upupu? Dada akili nyingi sana halafu katibu mkuu wa vijana wa hovyo mno.
 
Back
Top Bottom