Kwa vijana wa siku izi wengi sana iyo kawaida ..na uzuri ninkwamba hata Mungu mwenyewe anasema yy huwa anasamehe tu yaan ukitubu tu basi utasamehewa .....so mwache aendelee na kazi ila kuna kipindi ilikuwaninatamkwa jmfanyabiashara wa nguo ndio anahusika na huo uchakatuzi