Jokate Mwegelo zaidi ya unavyomfahamu

Huyu binti kiukweli alikuwa kama Wema mwanzoni, ni watu waliokuwa so innocent, aliyewabadilisha, kilichowabadilisha?!, watu wengi hawaamini walivyobadilika, Jokate wa St. Anthony's, si Jokate wa leo, tabia vuruguvurugu
 
Ni kweli anavipaji lakini side b yake sio nzuri, ukitaka ukweli muulize Hasheem Thabit, Mengi wanajua mengi juu ya huyu binti.

Embu tupe mkanda wake Amanda...Side B yake ikoje?
 
Last edited by a moderator:
Huyu binti kiukweli alikuwa kama Wema mwanzoni, ni watu waliokuwa so innocent, aliyewabadilisha, kilichowabadilisha?!, watu wengi hawaamini walivyobadilika, Jokate wa St. Anthony's, si Jokate wa leo, tabia vuruguvurugu

Kilichombadilisha ni pesa na fame...nothing else.
 
We muache aendelee kuchezea kaa la moto...baada ya kuulinda huo msedede wake yeye anaugawa kama peremende.
 
Nachojua ni mdogo wake Constantine Magavilla aliekua Airtel,

Hayo mengine mnaniambia nyinyi!!
 
Hongera cute jokate..tengeneza ela mama..ndo cha muhimu..mengineyo ziada
 
Namfahamu kitambo tangu alipokuwa headgal wangu pale loyola.. She's rly gifted ila haya mambo ya 'diamond' yanamshushia sana heshima yake.. Binafsi namheshimu sana 2!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwa hiyo hata akitengeneza hela kwa njia zisizo halali ni poa tu?

Do u know her personal?au unamjua kupitia Shigongo. Then je hela zisizo za alali colourles,au ni hizi tunazozichop wote!?
Je kaiba?Kama kahongwa unaushahidi?
Usimjudge mtu kwa kusimuliwa,No one is perfect,u know
 
No need of explanation for the things no one will believe any explanation.
 
Naskia ni mgonjwa huyo tayali halafu kanasagana
 
toka ahusishwe na skendo ya kumpora bwana malaya mwenzake wema sepetu- 'diamond' nimemshusha sana.namchukulia kama kahaba mwenye viwango kwa kila afanyalo,thenkyuu!

naona kama unafanana. na mimi vile kimawazo...ila kwa haya mazuri hongera zake.
 
Hata kama anatengeneza pesa vp, cha kwanza ni Hofu ya MUNGU, maadili mema n.k, ukipoteza hayo, umepoteza pia thamani yako ktk Jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…