Jokate na Diamond wamaliza bifu, Jokate anasubiri kazi ya Diamond na Kiba

Kipindi Niko dogo...
Nilikua nikikaa na Dada zangu,wakiwa wanapiga umbea walikua wanapenda sana kulitumia hilo jina...
Utasikia "si yule mzurimie"
Dada zangu walikua wambea sana aisee...
Sasa nikiiona hiyo ID yako najikuta natabasamu tu..!

Ok ni vizuri maishani kuwa na kumbukumbu nzuri za kukuletea mtu tabasamu na furaha.
 
Na kuongezea binti kidoti mwenye mpango wa kuongeza kidoti cha pili alibambwa na chanzo chetu akimlazimisha mchumba wake aache nyimbo iishe ili aone yule simba mwishoni lakini aliishia kupokea vibao tu na kuambiwa ”mbona hujawahi niambia niache ule wangu ufike mwisho uone TEMBO”
 
When DD davido say that?
Acha kuropoka ww
 
When DD davido say that?
Acha kuropoka ww

Naona unataka kuleta vita vya maneno tu mkuu, kwahiyo unataka clip ya video inayomuonesha davido anasema hayo au we unataka uthibitisho tu kuwa jamaa ali-sarenda? Anyway km utaweza rejea post za davido insta kipindi kile wameyamaliza na wizkd then zisome hizo post pia uangalie na kwa wizkid then usome, moja kwa moja utajua ni nani aliejisalimisha kwa mwenzie, na ata kwa common sense tu wizkid ni mtu mwenye dharau sana na mkimya ila davido ni vuvuzela so kupitia hizi sifa zao unaweza kujiongeza tu nani alimua kumaliza hizo mambo zao. ila km hufanyi tafiti au huna uhakika na unachokiongea nazani si busara kumwambia mwenzio analopoka ikiwa wewe ndo hujui
 
naona team kiba wamemtukana joketi mpaka kafuta post....hahaha
 
Yani haka kademu si kameliwa uroda na Diamond leo anamwita dogo? Hatari sana.
Mkuu,hawa watoto ni kiki tu..
Ni kama yule mmakonde na yule binti wa kichaga..
 
diamond anawanyoosha sana tu
afu mtu mzima kumwita dogo ni ishara ya dharau....
 
Usipomsifu mond utamsifu nani tena? Hata yy kajizuia lakini kashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…