21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Kha! We vipi? Kwani ansingiziwa?Acheni kufukua makaburi
Mwambieni asikae utupu kwenye ofisi za umma.Tahadhari huyu DC anaweza kumsweka mtu Lupango masaa 48
Nkupe namba yakeHivi huyu DC bado yuko single? Nina mipango ya kuhamia Kisarawe hivi karibuni.
Nkupe namba yake
a e i o uMi nataka kujua tu kama yuko single, hiyo namba yake ningefurahi angenipa mwenyewe.
Mkuu wewe ndo mamlaka ya teuzi nini?Nkupe namba yake
HujakoseaMkuu wewe ndo mamlaka ya teuzi nini?
Aiseee shikamoo mheshimiwaHujakosea
Marahaba ...mkuu habar za kujenga nchiAiseee shikamoo mheshimiwa
Nzuri tu mheshimiwa naona una wakata tuMarahaba ...mkuu habar za kujenga nchi
Sawa mkuu endelea kujenga nchi sisi tutakuja kumalizia kupaka rangiNzuri tu mheshimiwa naona una wakata tu
Sawa mkuu endelea kujenga nchi sisi tutakuja kumalizia kupaka rangi
Usiku mwema kiongozSawa sawa