Jokate ndo kasichana katakakonifuta machoz hapo badae panapo majaliwa

Hakika Binadamu hatufanani kama vidole.

Huyo Joketi wengine mwamuita jojo,,,mboni zangu zinamtazama kama binti/mwanamke wa kawaida tu kwa urembo/uzuri/mvuto au kwasababu yupo machoni kwa media sana ndio maana anawapagawisha..?


Totoz zipo nyingi hata kulegeza gidamu zao hastahili.
 
Napenda muonekano wake kila siku anaonekana bado binti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…