Jokate: Sijawahi kuroga ili nifanikiwe

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MWANAMITINDO anayefanya vizuri katika urembo ambaye hivi karibuni aliingia mkataba wa mabilioni na kampuni ya Rainbow Shell ya China, Jokate Mwegelo amesema katika harakati zake za kusaka mafanikio, hajawahi kukanyaga kwa waganga zaidi ya kumtegemea Mungu pekee .

Jokate ambaye brand yake inakwenda kwa jina la Kidoti alisema ; " Ninatumia akili yangu pamoja na watu wangu kutoka crew yangu hadi hatua tuliyofikia, mambo yakiwa magumu namlilia Mungu kwa kusali kila siku kwa imani yangu huwa naamini naweza kushinda bila kwenda kwa mganga

. " Jokate Mwegelo akiwa na Bi. mkubwa wake muda mfupi mara baada ya kuingia ubia na kampuni ya China .

Binti huyo ni miongoni mwa wasichana wanaopata mafanikio kwa haraka na mmoja kati ya wabunifu wanaofanya vizuri.

Wiki chache zijazo , bidhaa za kidoti zitakazotengenezwa na kampuni hiyo ya Wachina zitaanza kuuzwa sokoni .


Credit: GPL
 

Attachments

  • 1420438851358.jpg
    52.8 KB · Views: 569
Huyu mtoto ana ka.tako fulani Hivi kanaamsha sana hisia.
 
Kidoti yuko vizur huwa sitaman nipate skendo zake
 
Huyu mdada mzuri sana ila sijui kwanini hapendi kutulia na mmoja
 
ana fungus uko kwa bibi so mda wote panamuwasha na dawa pekee ni duduz tu

Hata mie naona hivyo binamu.Nilishagongana nae kwenye harusi fulani yani alivyokuwa anacheza na hicho kigauni ni balaa tupu
 
ana fungus uko kwa bibi so mda wote panamuwasha na dawa pekee ni duduz tu

Mimi nahisi ni rahisi sana kumseduce since aliponitolea mimacho tulipokutana kino kwa robby

We mwanamke gani anakukazia macho kila ukigeuka unaye kila ukigeuka unaye nilitamani nimfuate nimuulize kama amenifananisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…