Pre GE2025 Jokate: Vijana kataeni kutumika vibaya kuwabebea Mabegi Wagombea, Chukueni Fomu mgombee Nyie Wenyewe!

Pre GE2025 Jokate: Vijana kataeni kutumika vibaya kuwabebea Mabegi Wagombea, Chukueni Fomu mgombee Nyie Wenyewe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu wa UVCCM ndugu Jokate amewataka Vijana wa UVCCM kuachana na Uchawa wa kubeba mikoba ya Wagombea nyakati hizi za uchaguzi na badala yake wachukue Fomu na kugombea wao wenyewe

Jokate amewataka Vijana waanze kuchukua Fomu uchaguzi wa serikali za Mitaa mwaka huu na kwenye uchaguzi Mkuu mwakani

Jokate ameongea hayo mjini Iringa pale alipotwangwa Mjerumani

Source: Mwananchi

My take; Yawezekana Jokate anamjua Lucas 😂
 
Aanze yeye kuchukua Fomu kama rahisi hivyo, alafu hayo ya kubeba mabegi ndiyo njia ya kukua ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom