Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Watu wasijepata kisingizio cha kutotumia bana!Hahahahha ahivi kwanini Condom hazijapandishwa bei? Au kule hakuna VAT? I think ni source mojawapo ya Income
daah! binafsi hizo zana mi nilishindwa kutumia..mimi ni kavu kwa kwenda mbele,lakini ajabu hadi leo nipo hapa nachat na ndugu zangu watakaokuja kutokwa povu kwa ajili ya msimamo wangu wa kuwa mzalendo kwa kuloweka mbichi..Mwalimu aliingia darasani akauliza, "Kwanini mapenzi yana nguvu kuliko vita?"
MWANAFUNZI akajibu,"kwasababu CONDOM bei nafuu kuliko Bunduki..." [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lini umepima kwa mara ya mwisho?daah! binafsi hizo zana mi nilishindwa kutumia..mimi ni kavu kwa kwenda mbele,lakini ajabu hadi leo nipo hapa nachat na ndugu zangu watakaokuja kutokwa povu kwa ajili ya msimamo wangu wa kuwa mzalendo kwa kuloweka mbichi..
always napima,last time ilikuwa mwezi may mwaka huuLini umepima kwa mara ya mwisho?
Hali yako ya afya ktk hayo majibu ikoje mkuu.... samahani lakini ni kwa faida ya wengi hapa jamvini... najua wewe upo under cover, hatukufahamu!always napima,last time ilikuwa mwezi may mwaka huu
ni njema kabisa mkuu,wala usijali uliza tena na tena na tena,and how did u know if am undercover mkuu?Hali yako ya afya ktk hayo majibu ikoje mkuu.... samahani lakini ni kwa faida ya wengi hapa jamvini... najua wewe upo under cover, hatukufahamu!