Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Uongozi mzima wa CECAFA ulioketi jioni hii ukishirikisha vilabu vyote vilivyo shiriki michuano ya cecafa 2011 wamekubaliana kwa kauli moja chini ya usimamizi wa mahakama ya michezo ya dunia iliyowakilishwa na Duastr Long kuwa kutokana na kiwango kilichoonyeshwa na Mnyama hakuna haja ya fainali hivyo kuwapunguzia presha,Bp,sheli na Gapco wapinzani wetu Yeboyebo aka bibi harusi!
Hivyo tangu sasa Wanalunyasi,Mnyama,The Killers,Mume wa Yeboyebo ametangazwa kuwa bingwa wa Kagame Cup 2011
Mwinye kununa na anune! Ukinitusi unajihatarishia Burn ya maisha!!!
hahaha!naona unavyojifariji.hahaaa mke si ulishatangulia chumbani mie mmeo YANGA nikakufuata chumbani sasa maandalizi tu ushaanza makelele eti yanakutisha je mechi ikianza je? mtani unajua kuweka chachandu namna hii
piga dudu hawa malapa.. Hatucheki na malapa sisi
SIMBA:heloooo sweet..kesho utanipaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?
YANGA:nitakupaaaa(huku kamebaana pua)
hahaha!naona unavyojifariji.
bibi harusi yebo yebo lazima akalie kutikavu
via iphone 4
hata mbuyu ulianza kama mchichaHivi nyiye hamna haya? mashindano yenyewe yako wapi ya kushabikia na kelel zote hizo? mnakuwa kama CCM bwana? hatuna soka kabisa tatnzania na ndo maana hata timu ya taifa inafyata mkia kila mara sababu ya CCM magamba.
life is short my friendkaka naona umeridhika mwenyeweeee, lkn ndo hivyo
Ndio hivyo hivyo........Hivi Simba na Yanga ndio kitu gani?