Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Nipo kwenye group la sekondari. Kwenye hili hakuna kabisa cha maana zaidi ya vichekesho visivyochekesha. Sijui wao wanaona vinachekesha. Hapa nimetika kusoma kichekesho kibovu sana. Angekuwa jukwaani ningemrushia chupa!!!. Tena unakuta kuna memba mmoja yeye ndiyo anaongoza kutumia vichekesho visivyochekesha. Inabifi tu kubaki kukeep intouch na washkaji.
Kama na wewe ni bingwa wa kutupia vichekesho kwenye magroup na unaona mrejesho siyo kivile jitafakari.
Kama na wewe ni bingwa wa kutupia vichekesho kwenye magroup na unaona mrejesho siyo kivile jitafakari.