Inawezekana vinachekesha wewe ndiye unayachukulia maisha serious saana mkuu.Nipo kwenye group la sekondari. Kwenye hili hakuna kabisa cha maana zaidi ya vichekesho visivyochekesha. Sijui wao wanaona vinachekesha. Hapa nimetika kusoma kichekesho kibovu sana. Angekuwa jukwaani ningemrushia chupa!!!. Tena unakuta kuna memba mmoja yeye ndiyo anaongoza kutumia vichekesho visivyochekesha. Inabifi tu kubaki kukeep intouch na washkaji.
Kama na wewe ni bingwa wa kutupia vichekesho kwenye magroup na unaona mrejesho siyo kivile jitafakari.
yamejaa majungu na lawama.Mm hayo magrp ya sekondari sijui nn nimeshatoka muda sn huwa hamna cha maana
Yanaboa sana na hayana cha maanaMie ndio maana nilijitoa mgroup ya hivyo, hamna hata la maana ni ujinga ujinga tu.
Wa kishua..hamna muda wa kukaa na siye kwenye magroup ilihali hatujapata kazi bado tunabahasha mikononi.Mie ndio maana nilijitoa mgroup ya hivyo, hamna hata la maana ni ujinga ujinga tu.
Wa kishua..hamna muda wa kukaa na siye kwenye magroup ilihali hatujapata kazi bado tunabahasha mikononi.
Yanaboa sana na hayana cha maana
Siyo haya tu.
Uelewe.
Kabisa na mi nipo moja la primary yani uwa linasubiri matukio tu ndo linachangamka na afta hapo ni buyu ata wiki nzimaYanakuwa mazuri mwanzoni ile mna hamu ya kujua kilichoendelea tangu mpotezane ila baada ya hapo hamna tena la maana.
Shule gani ulisoma [emoji3]Kiukweli magroup ya sekondari nimetoka ila natamani nilione group la shule ya msingi, nawamisi sana watu niliosoma nao shule ya msingi aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule gani ulisoma [emoji3]
Inawezekana maana