Trust me, hamna tofauti yoyote..Weeeeh!! Shindwa, siwezi kuwa mtoto hivyo.
Hahahaha...dah!We toka zako bwana, wengine tuliingia shule tunatumia topaz tayari[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu amekukuta upo Chuo
Eti mtu kapata mimba mnaambiwa mjiandae kumchangia....Na michango isiyokuwa na maana
We toka zako bwana, wengine tuliingia shule tunatumia topaz tayari[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Trust me, hamna tofauti yoyote..
Nishafanya mchakato tayari, umebaki wewe kumalizia[emoji39]Nimekumiss ujue, fanya kamchakato basi[emoji39][emoji39][emoji39]
Trust me, hamna tofauti yoyote..
Nishafanya mchakato tayari, umebaki wewe kumalizia[emoji39]
Aah wapi magu hajahusika kabisa kwenye alimu yanguMagu amekukuta upo Chuo
Nywele nyeupe zimeanza kuota kunako?[emoji125][emoji125][emoji125]Thubutuuuuu!! Mie kijeba ati.
Mkuu hapo kwenye red, pengine hao classmate wako nao pia wanawaza kama unavyowaza wewe now!Aisee sizani kama kuna classmate wangu aliyeko hai ata kama wako hai sizani kama nitawakumbuka tena duh ni muda mrefu sana aisee
Nywele nyeupe zimeanza kuota kunako?[emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahaha, unaanza kuwa comedian!!!Zilishaanza kitambo sana.
Alafu huna hata haya unashare mabwana na dada zako!
Wewe zimeanza?Nywele nyeupe zimeanza kuota kunako?[emoji125][emoji125][emoji125]
Kuna watu wanafikiri watu wanaoishi nao ndivyo watu wote walivyo.Mbona group letu la sekondari halina hayo mambo ya kibwege.
Zimeaota mizizi tayari, manake kichwani nyeusi za kuhesabu.
Hahahaha, unaanza kuwa comedian!!!