Jokes za mwendokasi

Mimi sijawahi panda vipi sigara unaruhusiwa kuvuta? Au ni
No smoking?
 
Sijawahi ni out. vipi kuhusu msaada tuta imo?
 
Mi napendaga kuangalia zile kwapa za Dada zetu wakiwa wameshika zile bomba na mikanda ya juu
 
Mi napendaga kuangalia zile kwapa za Dada zetu wakiwa wameshika zile bomba na mikanda ya juu
Mkuu umekuwa kama madereva wa taxi.Wakikaa kwenye siti zao huwa wanaangalia makalio ya akina dada wanaopita karibu yao kwa uchu sana.Mungu "awarehemu" madereva taxi wote!
 
MTU MZIMA UNAANGALIA KWAPA ZA WADADA???? UNAUMWA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…