PreGE2025 Joketi apokea zaidi wanachama 100 kutoka vyama vya upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
lakini bado mnaogopa Uchaguz Huru na wa Haki

#NoReformsNoElection
 
Hivi ile barua ya kina mdee alisaini nani maana hawa ni wazee wa mafluki.
 
Wamepandikwa hawa, si kweli
 
well done comrade Joketi Mwegelo
 
No Reform No ELECTION.....hii kitu itawafanya kuwa vichaaa wa maigizo


Lissu kanyagia hapohapo ikibidi tuweke jiwe la Tani saba !!
 
Tangu mumeanza kupokeana wenyewe kwa wenyewe ingekuwa ni kweli mnao wapokea ni wapinzani mpaka sasa Tanzania kusingekuwa na wapinzani.
 
Sasa kama mama anakubalika hv kwann hataki uchaguzi wa haki?!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…