Wakuu nina mdogo wangu anafungua duka dogo (Mini Super Market) anaomba kujua utaratibu wakupata jokovu la kampuni ya Coca - Cola je aanzie wapi? Najua hapa nikisima cha hekima kwa wale wajasiria mali ambao wameshapitia hatua zozote nawaomba wanijuze ili niweze kumsaidia huyu dogo. Asante.