Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Lupembe mkoani Njombe ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Njombe Jolam Hongoli amewataka Watanzania kuacha kufikiria kuwa ili uweze kuwa Mbunge unapaswa kujua kusoma na kuandika tu kwa kuwa kazi hiyo ya uwakilishi ni kubwa na inahitaji maarifa.
Hongoli ameeleza hayo wakati akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mavanga mara baada ya Jumuiya ya Wazazi kufika shuleni hapo na kupanda miti pamoja na kutoa elimu mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuelekea maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM