Jomo Kenyatta alikuwa muumini wa dini gani ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Jomo Kenyatta, Rais wa Kwanza wa Kenya Inasemekana hakuwai kuonekena kuhudhuria kanisa lolote au popote katika utawala wake wa miaka 15.

Sasa hivi Ikulu ya Kenya imekuwa pango hadi la manabii na mitume matapeli!
 
Aliabudu waganga wa kienyeji na wachawi, alikuwa ni mchawi.
 
Ila Ruto ni mshamba wa Madaraka hana tofauti na jiwe.
 
Back
Top Bottom