Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Apr 9, 2023 #1 Jomo Kenyatta, Rais wa Kwanza wa Kenya Inasemekana hakuwai kuonekena kuhudhuria kanisa lolote au popote katika utawala wake wa miaka 15. Sasa hivi Ikulu ya Kenya imekuwa pango hadi la manabii na mitume matapeli!
Jomo Kenyatta, Rais wa Kwanza wa Kenya Inasemekana hakuwai kuonekena kuhudhuria kanisa lolote au popote katika utawala wake wa miaka 15. Sasa hivi Ikulu ya Kenya imekuwa pango hadi la manabii na mitume matapeli!
Geza Ulole JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 65,136 Reaction score 91,917 Apr 9, 2023 #2 Alikuwa mshirikina!
game over JF-Expert Member Joined Jan 1, 2016 Posts 10,727 Reaction score 24,840 Apr 9, 2023 #3 Yoda said: Jomo Kenyatta, Rais wa Kwanza wa Kenya Inasemekana hakuwai kuonekena kuhudhuria kanisa lolote au popote katika utawala wake wa miaka 15. Sasa hivi Ikulu ya Kenya imekuwa pango hadi la manabii na mitume matapeli! Click to expand... Aliabudu waganga wa kienyeji na wachawi, alikuwa ni mchawi.
Yoda said: Jomo Kenyatta, Rais wa Kwanza wa Kenya Inasemekana hakuwai kuonekena kuhudhuria kanisa lolote au popote katika utawala wake wa miaka 15. Sasa hivi Ikulu ya Kenya imekuwa pango hadi la manabii na mitume matapeli! Click to expand... Aliabudu waganga wa kienyeji na wachawi, alikuwa ni mchawi.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Apr 9, 2023 #4 Angekua mzima ,burning spear angejibu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 10, 2023 #5 Scotland (Presbyterian)...
ITR JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 6,096 Reaction score 16,390 Apr 10, 2023 #6 Ila Ruto ni mshamba wa Madaraka hana tofauti na jiwe.