Hebu wachunguzi pitieni hotuba za Jomo Kenyatta Baba wa Taifa la Kenya na uzisikilize utatambua maneno nyang'au, Kumanyoko n.k. yalikuwa kawaida kwake. Kwahiyo msishangae kinachoendelea sasa Uhuru karithi wakati wengine wanaiga viongozi wao.
Kusema kweli sijawahi msikia RAO akitukana. Na kama uchunguzi utafanywa hamna mtu aliyewahi tukanwa Kenya kama Raila mbali na Moses Kuria ni mara nyingi Uhuru amewahi kusikika akisema Kenya haiwezi tawaliwa na wasiotairiwa kiasi ikaonekana tusi la kawaida. Ushahidi upo Youtube. Hata Mama Ngina hutukana