Jonas Mkude ni mshkaji wa wachezaji wengi wa kigeni, ni moja ya silaha kubwa kwa Yanga hata asipocheza

Jonas Mkude ni mshkaji wa wachezaji wengi wa kigeni, ni moja ya silaha kubwa kwa Yanga hata asipocheza

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni mchezaji ambae ni mtoto wa mjini, ndie mwenyeji wa wachezaji wengi wageni wanaofikia hapa kwetu hasa kwenye maisha binafsi ya wachezaji nje ya mpira.

Anaweza kuongea vizuri na kuinfkuence wachezaji wa kigeni hata kama wapo simba, hili ndilo jambo hatari zaidi endapo Yanga wakiamua kutumia mwanya huu kwa masalhi yao,
 
Back
Top Bottom