sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hata akiondoka, hawezi kukosa timu hapa Tz tena atakuwa na uhakika wa namba 99% katika kikosi cha kwanza ya hiyo timuHuyo july 2024 atavuna mkono wa kwa heri ya kuonana.
Anawatafutia mademu na bangiSio jambo la ajabu kumkuta mkude weekend viwanja vya bata kama element ama kidimbwi akiwa na wachezaji wa kigeni wa simba, yanga na azam.
Yeye ndie mwenyeji wao
AaahaaAnawatafutia mademu na bangi