Jonas Mkude: Tutawapiga Yanga SC goli 5

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
WAKATI homa ya mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga ukianza kupamba moto, kiungo wa Simba, Jonas Mkude amedai kuwa kama Kocha Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina ameachana na klabu hiyo, kipigo cha mabao 5-0 ambao walikitoa msimu wa 2011/12 kinaihusu tena timu hiyo.

Simba na Yanga zitapambana tena msimu huu Aprili 29, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mchezo wa ligi kuu unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Mkude alisema kitendo cha Lwandamina kuachana na klabu hiyo wakati ikiwa bado haijacheza na Simba ni pigo kubwa kwa timu hiyo kwani anaamini hali hiyo itawavuruga kisaikolojia baadhi ya wachezaji wa timu hiyo, hasa wale waliokuwa na mahusiano naye mazuri.

Ushauri wangu
Yanga ipambane sasa kupunguza idadi ya magoli,goli tano nyingi sana. Angalau mbili hivi itapendeza
 
Hamtakaa kuamini kitakachotokea wana simba wote
 
Yan kama hujawah jua mambo
N vais vesa
 
World is not fair

Wakati simba wanaangaikaa na kuweweseka..Yanga wao wapo busy nakupambana na mechi za kimataifa
 
Simba yetu. Mwaka wetu. This is Simba SC
 
Kauli kama hizi ndo huwa chanzo cha viti kung'olewa pale Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…