Jonathan Ikangalombo atambulishwa rasmi Young Africans SC

Yanga nilidhani watasajili kiungo mkabaji, kumbe tena wameongeza mshambuliaji.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
 
Tunataka mwisho wa msimu kocha akae muda mrefu na timu ili kuijenga badala ya kuingiza wageni wengi ktk usajili.
 
Klabu mpaka uinange ndiyo inalipa madeni ya wachezaji wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…