Huyu jamaa Jonathan Majors ni actor anayeijua kazi yake vyema sana. Talent yake ni ya hali ya juu. na amepata deal kubwakubwa ndani ya muda mfupi sana. Sasa mwezi jana alikamatwa kwa ukatili wa kijinsia. Akatupwa na ndani kwa tuhuma za kumpiga mpenzi wake.
Baada ya kesi hiyo wmetokea wanawake wengine wakidai kufanyiwa ukatili na jamaa. Watu wameanza kumkimbia. Mawakala na dili za matangazo ameanza kukosa. Hata dili nono za uigizaji ataanza kuzikosa.
Inasikitisha sana jamaa mwenye promising career kama yeye kupatwa na yaliyompata.
Hiyo ni kawaida kwa Jamii ya wenzetu, ulifanikiwa kidogo tu watu wanachukua kama opportunity ya kupika pesa kupita law suits, rape allegations n.k.
Sito shangaa asipopatikana na hatia.
NB: Tukumbuke mjini shule
Ngozi nyeusi Ina laana wanaona wenzao kutwa wanaishia kufilisika kwa hiyo midemu ya kizungu hawakomi tu acha apukutishwe kwani wakioa weusi wenzao watakufa?