OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kwa haraka haraka jamaa ni mtu anayependa attention kutoka kwa marefa na hata kutoka kwa mashabiki pindi awapo uwanjani. Akikosa attention huitafuta kwa namna yeyote haijalishi kwa kujirusha ndani ya box au kumkata mtama mchezaji wa timu pinzani ilimradi tu amulikwe na kamera, pia ni mtu asiyejali mafanikio ya timu bali hujali mafanikio yake binafsi . Kwa mpira wa yanga msitegemee assist ni atataka kila goli afunge yeye ilimradi aonekane kwenye kamera na asipopangwa tegemeeni drama mitandaoni au utovu wa nidhamu kambini nawasilisha