Jonesia Rukya kuchezesha pambano la Simba na Yanga Aprili 16, 2023

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
Mwamuzi wa kati Jonesia Rukya kutoka Kagera, ndiye atakayechezesha mechi ya watani wa jadi Simba vs Yanga itakayopigwa kesho Jumapili Aprili 16 katika dimba la Mkapa.

Wasaidizi wake watakuwa ni Mohamed Mkono na Janeth Balama.

IMG_20230415_202319.jpg
 
Mwamuzi wa kati Jonesia Rukya kutoka Kagera, ndiye atakayechezesha mechi ya watani wa jadi Simba vs Yanga itakayopigwa kesho Jumapili Aprili 16 katika dimba la Mkapa.

Wasaidizi wake watakuwa ni Mohamed Mkono na Janeth Balama.

View attachment 2588980
Huyo ndiye kiboko yao; nadhani alishawachezesha tena huenda mara mbili hivi huko siku za nyuma.
 
Back
Top Bottom