Jopo la vigogo wa CCM lamwekea kambi Dk Slaa

Kuna kila aina ya vitimbi katika uchaguzi ujao wa uchaguzi mwakani
 
Wacha waende na watarudi wamenyong'onyea kama kawaida.
Karatu si Pwani kwao na Kibunango ambako wanatoa kura kwa kipande cha khanga. Huko wamechemsha. Na wakijaribu anzisha vurugu, kisago kiko nyuma yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…