Joram " Udugu umala ubaya ubwela" Poleni Watani

Joram " Udugu umala ubaya ubwela" Poleni Watani

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Kwa hisani ya C. Magori [emoji24][emoji23]
Wazaramo walikuwa na msemo wao na kabla awajaingia katika vita ama awajaleta timbwili wanaweza kusema udugu umala ubaya ubwela.

Yani udugu umala ni udugu umeshakwisha isha na ubaya ubwela maana kwamba ubaya umerejea
 
Magori buana 😂😂😂
Sasa anataka kwenda Cameron kumshtaki Camara kuwa amechukua bahasha ya Eng. Hersi?
 
Kuna Mwenyekiti kafariki huko kisa goli la kijifunga!😭😭😭
 
Back
Top Bottom