Kwa hisani ya C. Magori [emoji24][emoji23]
Wazaramo walikuwa na msemo wao na kabla awajaingia katika vita ama awajaleta timbwili wanaweza kusema udugu umala ubaya ubwela.
Yani udugu umala ni udugu umeshakwisha isha na ubaya ubwela maana kwamba ubaya umerejea