Joramu Nkumbi mtaalamu wa Kiswahili

Joramu Nkumbi mtaalamu wa Kiswahili

Yuko vizuri Ila ana Tabia inayofanana na Enock Inonga Baka wa Simba..kucheza na audience Hadi anapoteza Radha..sasa huyu bwana Tabia yake ya kucheka Cheka kila baada ya maneno mawili apunguze

Najua anapata comments nyingi za mademu wakimsifia kicheko chake Ila anakutoa tembo maji(anazidisha kucheka Cheka)

Yuko vizuri Sana hasa ukizingatia ni bwana mdogo kiumri lkn anaijua lugha ya Kiswahili barabara

Ni Msomi mzuri ana MBA..mtaalamu wa mathematics lkn utadhani amesomea lugha Kwa jinsi anavyoinyumbua.Ni msingida Ila amekaa Sana Tanga kujifunza lugha fasaha ya Kiswahili(Kwa mujibu wake ) Kwa wasiomfahamu
 
Yuko vizuri Ila ana Tabia yainayoshabihiana na Enock Inonga Baka wa Simba..kucheza na audience Hadi anapoteza Radha..sasa huyu bwana Tabia yake ya kucheka Cheka kila baada ya maneno mawili apunguze

Najua anapata comments nyingi za mademu wakimsifia kicheko chake Ila anakutoa tembo maji(anazidisha kucheka Cheka)

Yuko vizuri Sana hasa ukizingatia ni bwana mdogo kiumri lkn anaijua lugha ya Kiswahili barabara

Ni Msomi mzuri ana MBA..mtaalamu wa mathematics lkn utadhani amesomea lugha Kwa jinsi anavyoinyumbua.Ni msingida Ila amekaa Sana Tanga kujifunza lugha fasaha ya Kiswahili(Kwa mujibu wake ) Kwa wasiomfahamu
Nilikua namsikilizisha leo jamaa yangu mmoja akasema dogo anacheka kitajiri sana😂.

Yote kwa yote Bwana mdogo anajitahidi sana. Nampongeza atafika mbali.

Kuhusu madem kufurahia cheka yake, hiyo ni kawaida, vile vitu wanaume tunaona vya hovyo ama visivyo na maana ndivyo wanawake wanapenda. Mambo ya hovyo hovyo kabisa.
 
Nimemsikiliza nikajikuta kiswahili changu natumia maneno machache mno na mengi siyajui. 😅😅😅
 
Mzee wa "wabadu wakatabahu fakir" Mimi namkubali sana.Pia ni mcha Mungu sana huyu jamaa (born again).
Ngoja nami niyeyuke nikiweweseka .....kijanja😁
 
Mlumbi awewesekaye kiwendawazimu ameona ujumbe wako

Image 2.jpg
 
Mara ya kwanza kumsikia akizungumza kwa Kiswahili cha dunia a.k.a Kimombo
 
Back
Top Bottom