The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
😂😂😂 Sure. Huyu bwana mdogo ni tabia ya Lumumba. Hata ukiangalia profile yake ni kama ndie mwalimu na mentor wake.Swahili version of PLO Lumumba.
Nilikua namsikilizisha leo jamaa yangu mmoja akasema dogo anacheka kitajiri sana😂.Yuko vizuri Ila ana Tabia yainayoshabihiana na Enock Inonga Baka wa Simba..kucheza na audience Hadi anapoteza Radha..sasa huyu bwana Tabia yake ya kucheka Cheka kila baada ya maneno mawili apunguze
Najua anapata comments nyingi za mademu wakimsifia kicheko chake Ila anakutoa tembo maji(anazidisha kucheka Cheka)
Yuko vizuri Sana hasa ukizingatia ni bwana mdogo kiumri lkn anaijua lugha ya Kiswahili barabara
Ni Msomi mzuri ana MBA..mtaalamu wa mathematics lkn utadhani amesomea lugha Kwa jinsi anavyoinyumbua.Ni msingida Ila amekaa Sana Tanga kujifunza lugha fasaha ya Kiswahili(Kwa mujibu wake ) Kwa wasiomfahamu
Joram akioa nitalia wajameni 🥲🥲
Sasa yeye anaoaje mwingine wakati mimi niko hapa 🥲🥲Kwa nini ulie mkuu?
Sasa yeye anaoaje mwingine wakati mimi niko hapa 🥲🥲