Jordan univ.morogoro boom kulikoni?

Jordan univ.morogoro boom kulikoni?

Kayabwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
385
Reaction score
86
Ni mwezi wa pili na zaidi tangu wapate boom la mwisho,hadi leo hakuna ht dalili za kusign.Watoto wanakufa njaa kwa kula mlo mmoja.Na taarifa ni kwamba board ilisha tuma pesa tangu th.4.4.2013.Wahusika please wahurumie.
 
everbody will survive for his/her own fittest so revolution for changes udsm bravoooooooo!wake up guys mtakufa!au mnasubiria 2 walioshiba wawafikirie sjui!
 
Bodi ya mikopo haijali hata kama mtakufa kwa njaa na madeni
 
Bodi ya mikopo haijali hata kama mtakufa kwa njaa na madeni

:yo::A S angel::frusty::A S-heart-2: nenda kawalipue na bomu ndio watasikia.ila hivihivi watakaa matumbo juu kama vyura walioshiba maji.
 
Back
Top Bottom