Jordan University boom ka pili kuna nini???!!!

Kayabwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
385
Reaction score
86
Ni karibia wiki y pili sasa ipite tangu tulipopashwa kupewa hilo boom .Ofisi ya loan board hapa chuo eti wametumiwa majina lkn bank pesa bado.Vyuo jirani tulivyotangulia kufungua semister wamepata boom lapili kama MUM na SUA.Nadhani kuna ufisadi hizi pesa wanazifanyia biashara,JUCO tuamke!!!.
 
Vyuo vyote vya SAUT mbona bado hawajapewa.
 

Kumbe we naye mwendawazimu,
Una uhaki hivyo vyuo jirani(SUA & MUM) wameshapata boom la pili?
 
Hali ni ngumu ila waugwana tuwe wavumilivu.
 
Vumilieni tuu na muwape muda wakishindwa andamaneni..
 
mbna mdogo wang anayesoma MUM kasema wao walipewa wiki iliyopita?
 
Vumilieni tuu na muwape muda wakishindwa andamaneni..

mpigamsuli naona unawafariji wenzio,wakati ata wewe awajakupa.una moyo ajabu.ww mwenyewe chuoni kwako ata waziri mwenyewe ni pazia sembuse raisi ndio kilaza kabisa awezi kusema chochote kwaajili ya kuwatetea wanachuo,maandamano yataanzia wapi sasa??komaaeni tuu hii ndio TZ.
 
maisha ya kitumwa ndio aya so vumilieni wadau,wapipenda wawape wasipo penda wavunge,wakibana iko siku wataachia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…