Hali ya chuo hiki maarufu kama saut Moro ni mbaya sana kwa kuwa imefikia hatua wanachuo wanashindwa kuhudhuria vipindi kwa hali mbaya ya kifedha inayopelekewa na kukosekana kwa boom chuoni hapo na ikiwa zimebaki takribani wiki mbili watu waanze UE,na chuo ni cha kikatoliki hamna mgomo!
vice principle Fr. MUHOZA ni kauzu zaid ya dagaa wanafunzi walipotaka kuandaman akasema ataenda mwenyew bodi, ameenda bodi wakamwambia serikali haina hela aliporudi akasema msubiri serikali itimize wajibu wake. Kama kuna anaetaka kuandamana aandamane halafu wakutane. Mbaya zaid amewaambia hayo maneno wanafunz wa mwaka wa 3 ambao wanahesabu wiki 2 wamalize.... Nani atagoma?