Jordan University College, tufahamine hapa

Joined
Sep 19, 2014
Posts
26
Reaction score
1
kama wewe ni muhusika hapo tufahamia
ne first year karibuni wenyeji tushow love hapa pamoja
 
saafi sana udsm wapo wa certificate watakuponda hapa akati mwisho wa siku ni vilaza
 
Hiki chuo kiko wapi kinafundisha course gani.
 
Acheni dharau eti chuo kipya cha kata.

kuna mtu unaweza kuwa msomi wa vitabu au wa mkumbo #emoki huyo anaesema cha kata hapajui #udom ? wala kuwa kwako #udsm kusikufanye ujihisi kuwa unajua kuna watu kibao wapo vyuo vikuu tofauti na hicho unachojivunia na wanakuzidi kila kitu kielimu hapo ndo ujione ulivyo bado unahitaji elimu. #Emock hao wanahitaji elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…