Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
chuo kipo wapi hicho? Wanafundisha kozi gani?
haha kazi kweli watoto wa tcu mnavituko
haha kazi kweli watoto wa tcu mnavituko
uko serious kwel wewe??
chuo kipo Morogoro unashuka kituo cha Nanenane ukitokea popote pale Tanzania. Ukishuka kwenda chuo unachukua bodaboda ni sh 1500 unasema unaenda jordan. Taxi ni kama buku 3 hv na kwa miguu ni bure. swali ama msaada wowote kuhusu chumba ama mambo mengne tumia email hii: rashidhussein27@gmail.com. NOTE: Sitoi namba ya simu kuepusha usumbufu. ikibidi ntakupa ila sio jf.
Kama unatoka DAR, nanenane inaanza halafu inafuata Oil Com eeeh?
Chuo kipo wapi hicho? Wanafundisha kozi gani?
thanks kwa Young Kibaka kwa maelezo mazuri nataka kuongezea kidogo tu
-kozi zinazofundishwa kwa ngazi ya shahada ni education,law,bba,philosophy,psycology,education with religious studies,n.k
-chuoni panafikika kwa usafiri wa daladala ukitokea stand kuu ya msamvu unapanda dala dala za kwenda mikese unashukia chuo moja kwa moja

Mkuu hongera kwa maelezo
Chuo kipo wapi hicho? Wanafundisha kozi gani?
Kwa wale waliochaguliwa jordan university college tufahamiane hapa pia tujadili jinsi ya kupata hostel au vyumba vya kupanga, tarehe ya kuripoti chuo na jinsi chuo kilivyo nawasilisha