Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mfalme Abdallah wa Jordan hapo jana alitangaza kuwa jeshi la nchi hiyo bila hofu lilidondosha misaada muhimu kwenye kituo chake kilichopo Gaza katikati ya vita vinavyoendelea.
“Our fearless air force personnel air-dropped at midnight urgent medical aid to the Jordanian field hospital in Gaza,” he said on X, formerly known as Twitter.
“This is our duty to aid our brothers and sisters injured in the war on Gaza. “We will always be there for our Palestinian brethren.”
King Abdalla
Katika tangazo lake hilo hakusema kwamba waliomba ruhusa kutoka jeshi la Israel ili kufanikisha zoezi hilo.
Na jee msaada huo utawatosheleza hao waliojificha kwenye hospitali yake na jee utawakinga na mashambulizi ya Israel ambayo yameshapiga karibu hospitali zote na kambi za wakimbizi
Jee huo ndio uwezo wa mwisho walionao Jordan kwa ndugu zao wa Palestina
Na kwanini kama ana huruma na maafa ya ndugu zao asianze na ukingo wa magharibi ambako ni upande wa pili tu wa mpaka wake na ambako mashambulizi ya Israel yanaendelea na vifo vimeripotiwa kwa makundi yote ya Hamas na PLO.