Jordin sparks na Jason Derulo wameachana rasmi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Channel ya E! ,muda huu wanatangaza kuwa muimbaji Jordin Sparks na Jason Derulo wameachana rasmi.

Walikuwa kwenye uhusiano toka 2012.
 
Kama kawaida yao kila mtu ana kitu kipya sasa
 
Dah mkuu alikuwa anafaidi kinoma aisee,,yule mtoto mtamu yupo nachuro.
 
Jason derulo anataka adili na ma big..booty...mambo ya wiggle wiggle..na hvi jordan kimbaumbau
 
Duh,jamani couple zangu zote zimepigana chini...riri & criss hawa tena???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…