Anachofanya anacheza na akili ya kipa,ukiangalia kwa umakini hiyo video ya pili kuna vipande akitaka kupiga mpira anafanya kama anaruka kupiga shoot la nguvu kuelekea upande fulani ila anabadilika hapo hapo akiwa ameshajua kipa amepotea anapiga kidogo tu nyavu zinacheka.