Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Duh ilikuwaje mkuu em towa maelezo marefu[emoji3][emoji3][emoji3]Binafsi nimefurahi Italy kushinda, hao waingereza kwa midomo yao wangeshinda basi dunia ingekoma na kushika adabu.
Picha linaanza mpaka ki gari cha kupeleka mpira jana kimejitangaza kwamba chenyewe ni kishoga.
Katika mashindano haya, Italy bila Jorginho gari lisinge waka, kijana achukueHajaonesha kiwango cha maana cha kumuwezesha kushinda hiyo tuzo. Ana bahati tu ya kushinda mataji hayo mawili makubwa, basi.
Hapo Italia kwa mfano, kuna aliyeongoza kujenga kiungo imara kumshinda Verratti wa PSG?
Kulingana na ripoti mbalimbali, Messi ndiye anayeongoza kinyanganyiro, akifuatiwa na Harry Kane, Kante na wengineo. Isitoshe, hii ni kabla ya Messi kuchukuwa Copa America na Argentina saa kadhaa zilizopita.
AnasitahiliKwa kuongoza kiungo cha Klabu yake ya Chelsea kushinda kombe ya ligi ya Mabingwa ya Ulaya na kwa kujenga kiungo Imara cha timu ya Taifa ya Italia na kuiwezesha kushinda kombe la Fainali za Euro 2020, Jorge Luiz Frello Filho almaarufu Jorginho ambaye huko Italia anajulikana kama "Regista"(DIRECTOR kwa kiingereza) anastahili kushinda hii tuzo na kuwa Mcheza bora wa dunia kwa mwaka huu wa 2021.
Nini maoni yako mwanabodi.
Namba zake zinasoma vipi, au alikuwa beki?Katika mashindano haya, Italy bila Jorginho gari lisinge waka, kijana achukue
Labda kusitahili lakini sio kustahiliAnasitahili
Assist=0Namba zake zinasoma vipi, au alikuwa beki?
Angeanza kwanza kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa Euro (Golden Ball). Hajachukua sababu hajastahili. Huko unakotaka apafikie bado ni parefu sana!Katika mashindano haya, Italy bila Jorginho gari lisinge waka, kijana achukue
Chawa wa Penaldo mmeshapata kichaka cha kujifichia
DuhChawa wa Penaldo mmeshapata kichaka cha kujifichia
Angeanza kwanza kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa Euro (Golden Ball). Hajachukua sababu hajastahili. Huko unakotaka apafikie bado ni parefu sana!
Kiungo mwenzake [Modric] alichukuwa UEFA CL, pia alichukuwa tuzo ya mchezaji bora wa Kombe la Dunia mwaka 2018 ndipo akashinda Ballon d'Or iliyofuata.
Kwa kuongoza kiungo cha Klabu yake ya Chelsea kushinda kombe ya ligi ya Mabingwa ya Ulaya na kwa kujenga kiungo Imara cha timu ya Taifa ya Italia na kuiwezesha kushinda kombe la Fainali za Euro 2020, Jorge Luiz Frello Filho almaarufu Jorginho ambaye huko Italia anajulikana kama "Regista"(DIRECTOR kwa kiingereza) anastahili kushinda hii tuzo na kuwa Mcheza bora wa dunia kwa mwaka huu wa 2021.
Nini maoni yako mwanabodi.